Hatimaye yametimia,Mourinho atimuliwa kabla ya Krismas, rekodi zipo hivi…
“Usiku wa deni haukawii kuisha” hivi ndivyo kochawa Manchester United Jose Mourinho alivyokuwaakisubilia hatma yake katika klabu hiyo ya mashetani wekundu baada ya matokeomabovu katika ligi na klabu bingwa barani ulaya. Hatimaye imethibitishwa kuwakocha wa mabingwa wa Europa msimu wa 2016/17 ametimuliwa rasmi.
Hatimaye Tottenham yavunja rekodi hii ya Barcelona.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka barani ulaya bila shaka,utakuwa unaijua Barcelona, klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa barani ulayana duniani kwa ujumla.