BlogMichael John Lema, nyota mwingine wa kujumuishwa Taifa Stars.Issack John25/04/2019Kwa msimu huu pekee John Lema amecheza zaidi ya michezo 12 akifunga mabao mawili licha ya nafasi ya kiungo mshambuliaji. #NaniAtavaaJeziYaBlue