Ligi KuuPondamali ni ‘gwiji’ lakini asimkosee heshima KindokiBaraka Mbolembole5 years agoSitaki kuzungumzia kuhusu ubora wa Kindoki kama ana faa au hafai lakini kikubwa ni kutaka kumkumbusha kocha wa makipa wa Yanga, Pondamali, swala hili.