Kabla ya kufika huko, turudi kwenye misingi yake kwanza..
Wajerumani na Waingereza nao iliwabidi wajifunze kuhusu jinsi ya kuwekeza na kujenga soka lao. Wakiangazia kombe la Dunia lijalo.
Hebu tujifunze kwa Waingereza kidogo…
Waingereza walitupiana sana lawama, wakaja na sababu kibao za kwanini wameshindwa kombe la dunia. Tazama hii..