Ligi KuuLazima niwe mfungaji bora- Wazir JuniorMartin Kiyumbi19/08/2020Wazir Junior ni jina ambalo limeonekana sana kwenye habari za michezo hapa nchini kwenye msimu uliopita baada ya yeye kufanya vyema kwenye ligi kuu.