BlogWabrazil wa Simba SC ni ‘fotokopi’ ya kina Jaja, CoutinhoBaraka Mbolembole3 years agoSimba ilifikiria kuwasaini wachezaji kama Watler Bwalya, Jakaka Tuyisenge, Jean Mundele Makussu lakini wamewakosa wote hao labda ndio maana wamekimbilia Brazil.