Mabingwa AfrikaKocha Aussems aanika “game plan” yake dhidi ya AS Club Vita.Sekwao Mwendi18/01/2019“Tunajua wataanza kutushambulia kwa kasi kama ilivyo kawaida kwa klabu kama Vita katika michezo yake ya nyumbani”