Kuifunga Simba , Yanga wanatakiwa kuwa na Manji, Zahera na Aussems kwa pamoja
Tarehe 4/1/2020 inakaribia sana. Siku ambayo nchi nzima itasimama kushuhudia pambano moja ambalo hugawa nchi pande mbili. Upande wa kwanza...
Tawi la Yanga Dar, lagomea Uchaguzi.
Yanga inatakiwa kufanya Uchanguzi, ingawa baadhi ya wanachama hawapotayari.
Manji ni shujaa anayesalitiwa Yanga SC
WANACHAMA/ mashabiki na wapenzi wa Yanga SC wanaweza kupinga kila kitu- kumkataa mwenyekiti wao wa muda, Thobias Lingalanagala, Shirikisho la...
Huu ndio msimamo wa serikali kuhusu uchaguzi wa Yanga.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison George Mwakyembe ameitaka klabu ya soka ya Yanga kuheshimu maelekezo ya...