ASFC

Yanga ilistahili ushindi mbele ya Simba dhaifu!

Sambaza....

Yanga anataka tiketi ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la FA baada ya kumfunga Simba bao moja bila katika Dimba la CCM Kirumba Mwanza kwa bao la Feisal Salum.

Wakazi wa Mwanza iliwapasa kusubiri kwa miaka 12 mingine tangu mchezo wa Watani upigwe ili kuwashuhudia tena wababe wa nchi Simba na Yanga wakipepetana katika Uwanja wa Kirumba.

Salum abubacar akimiliki mpira katikati mwa viungi wa Simba Thadeo Lwanga na Mzamiru Yassin.

Yanga walishinda mchezo huo wa nusu fainali na walikua na kila sababu kiufindi kupata ushindi mbele ya wapinzani wao Simba waliokua dhaifu.

Uteuzi wa kikosi na mbinu za Pablo ndizo ziwafanya Simba waambulie patupu katika mchezo huo.

Sikiliza na tazama hapa jinsi Mpwa alivyouchambua udhaifu wa Simba katika mchezo huo.

YouTube player

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.