Fei Toto kwenda Azam FC
Baada ya kuendelea kufanya usajili kwa ajili ya kujiimarisha na ligi kuu Tanzania bara msimu ujao kwa kuwaleta wachezaji nyota...
Feisal Salum fanya hivi uondoke Yanga!
Lakini Fei wa sasa amereje upya kwenye form yake nadhani ndio muda wa kuondoka sasa, kiufundi anachopaswa kufanya ni kuongeza uwezo wa kutafsiri mahitaji ya mchezo kutokana na muda na tukio.
Fei Toto hakuja Bongo kuuza sura!
anayeviweka benchi vipande vya watu kama Makame, Banka na viungo wengine kunako kikosi cha Yanga.
Mkude anachakujifunza kwa Feisal Salum “Toto”
Baada ya kufunga goli lile zuri dhidi ya Nkana huenda ikapita tena miaka mingi ndipo aje kufunga goli zuri kama lile