
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi. Hapo kabla mhamasishaji wa klabu hiyo alinukuliwa akisema Yanga haina shida na makombe.
Kwa barua hii inamaanisha kuwa mhamasishaji huyo ulimi uliteleza.
Yanga ilitolewa kwa mikwaju ya penati dhidi ya Mtibwa.
Fainali ya Mapinduzi itapigwa kati ya Simba Sc na Mtibwa Sugar
Unaweza soma hizi pia..
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.
Kola na mfupa uliomshinda Mayele!
Licha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Mbinu mpya za Yanga zilizoacha lawama kwa kipa wa Dodoma Jiji
Nasredeen Nabi ilimlazimu kutoka katika mfumo wake wa siku zote wa kumtegemea Fiston Mayele na kubadili mbinu ili kupata ushindi.