Simba ilishajiandaa kushindwa, Sven hana lawama.
Tubaki kuwaheshimu wapinzani na kuziheshimu dakika tisini ambazo kama umejipanga vizuri unakuwa na nafasi kubwa ya kushinda mchezo.
Simba wamekosa kombe la Mapinduzi kwa sababu hizi..
Mgalatia Francis J. Lumeya, shabiki wa kandanda, anaangazia kwa maoni yake kile anachoamini kuwa kiliifanya klabu ya Simba ishindwe kushinda mchezo wa Jana. Kombe la Mapinduzi ni la kwanza kila mwaka Tanzania.
Yanga sasa wasema walidhamiria kushinda Mapinduzi
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi. Hapo kabla mhamasishaji wa klabu hiyo alinukuliwa akisema Yanga haina shida na...
Simba Sc haikuwa na Wikiendi mbaya – Manara
Women’s Premier League) imeendelea jana, huku Yanga Princess ikiwakaribisha Simba Queens katika mchezo wa raundi ya tano, Yanga Princess walikubali kulala kwa jumla ya magoli 7-0 huku Mwanahamisi Omari