Tangu nipo Tanzania mechi niliyocheza ikiwa na mashabiki wengi ni mechi ile ya juzi dhidi yao (fainali dhidi ya USM Algier), watu walikuwa wengi ni walitusapoti sana
Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora
Kulingana na Daily Mail, Southampton na Middlesbrough wana nia ya kumsajili Novatus Miroshi wa Zulte Waregem. Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka 20 alijiunga na timu hiyo msimu uliopita wa kiangazi akitokea Israel, lakini ameendelea kushangaza kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi nyingi. Mpaka sasa msimu huu, Miroshi amecheza...
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani Haji amesema kuwa ili uweze kupata tiketi unahitaji kuwa na N-card ambayo gharama yake ni 1,000 na gharama ya tiketi ni 5,000.