Simba SC vs Coastal Union FC
Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.
Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.
Simba inaendelea na mawindo yake ya kutafuta alama tatu muhimu katika safari yake ya kuusaka ubingwa wa Ligi Kuu wakati itakapokuwa ikipambana na Tanzania prisons.