archiveArchives

Patrick Aussems

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ubelgiji, kabla ya kujiunga na klabu ya Simba alikuwa akiifundisha pia timu ya taifa ya Nepal.

Pierre Lechantre

Kocha Lichantre keshawahi kufundisha vilabu kadhaa duniani kikiwemo kikosi cha Timu ya Taifa ya Cameroun kilichotwaa ubingwa wa Africa 2000. Kocha huyo pia alipata kuwa kocha bora wa Afrika mwaka 2001 na pia barani Asia mwaka 2012.
1 2 3
Page 1 of 3
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.