Kandanda ChatEPL na Laliga wafikirie kumalizia Ligi China?Thomas Mselemu03/04/2020Kwa kesi hii ya ugonjwa wa corona ni vyema basi FA za Hispania na England wakafiri ni jinsi gani wataweza kuwasiliana na kujenga ujamaa na FA ya China.