BlogDavid Silva mtoto wa Polisi anaepigiwa salute UingerezaThomas Mselemu2 years agoAkajawa na hasira zisizoumiza, nguvu ya kupambana ikatawala misuli yake, akili na ubunifu wa kusakata kandanda ukajaa akilini kwake, kilichofuata hapo ni historia.