Ligi KuuMshambuliaji Alliance: corona imetuongezea gharama.Mwandishi Wetu18/03/2020Sisi kama wachezaji tunathamini kazi yetu na ukizingatia team yetu haipo katika hali nzuri tunahitaji kuibakiza katika ligi kila mmoja atafanya mazoezi atakapokuwa.