Namsubiri DIAMOND alete WCB kwenye MPIRA
Tusubiri labda kesho atakuja na WCB kwenye mpira, augeuze mpira biashara , azalishe bidhaa nyingi ambazo ataziuza nje na kuja kutusaidia sisi.
Saido Mane apagawa na Diamond Platnumz !
Jana kulikuwa na halfa ya utoaji tunzo za soka barani Afrika zinazoandaliwa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF) ambapo...