StoriSilent ocean yaja na Ramadhani Cup yakibabe!Mwandishi Wetu1 year agoKutakua na makundi matano yenye timu nne maana yake timu shiriki ni 20. Tunawakaribisha makampuni na taasisi mbambali waje wachukue fomu ofisini kwetu pale Lumumba