Ruvu Shooting waiumiza pabaya Yanga SC.
Timu zikiendelea kukimbizana na dirisha dogo la usajili, Ruvushooting pia yafanya yake.
Wachezaji watano wa Yanga wasiostahili kuwepo msimu ujao
1: Nadir Haroub "Cannavaro". Hapana shaka Jangwa la kariakoo ni tofauti na ma Jangwa mengine. Ukame ndiyo sifa pekee ya...
Emmanuel Martin karidhika, Mwashiuya hana hasira
Geofrey Mwashiuya, alitingisha nchi kipindi cha usajili wake, kijana mdogo kutoka Mbozi ambaye aliifanya mitaa ya Kariakoo kuhamia kwa muda...
Yanga yaizima Zimamoto 1-0
Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, imeendeleza ubabe wake katika michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuitandika Zimamoto...