Mabingwa UlayaBarcelona na zimwi likujualo halikuli likakwishaTigana Lukinja15/04/2022Nadhani kuna haja ya kuachana na dhana ya kutumia wachezaji waliopita katika club wakati wa Career zao wakiwa wachezaji kabla ya kuturn kwenye Coaching.