Hii ndio ZESCO United! rekodi, Historia na mataji hivi hapa.
Kwa upande wa kimataifa, ZESCO imeshiriki klabu bingwa mara tano, huku mwaka 2016 wakiishia hatua ya nusu fainali, kabla ya mwaka 2018 kuishia hatua ya Makundi.
Yanga ina bahati ya kupata makocha ambao huwa mashabiki wa timu hiyo.
Hata mtangulizi wa Mwinyi Zahera, George Lwandamina alidumbukia kwenye huba sema viongozi ndiyo waliosababisha aondoke.
Rasmi Lwandamina apata timu mpya.
Baada ya kuachana na Yanga aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo George Lwandamina leo hii katangazwa rasmi kuwa kocha mkuu...
Tatizo la Lwandamina ni kukimbia na tope mwili mzima
Huwezi sikia kelele za maumivu au za furaha kutoka kwake, uhakika wa hatua zake ndicho kilichopo kichwani mwake. Haijalishi njia...
Taa yenye mwanga wa dhahabu ndani ya Yanga SC
Hakika Afrika ina kila sababu ya kujivunia kuwa na Kocha wa aina ya George Lwandamina "Chicken", Ni mtu mwenye kariba...
Yanga SC yajipanga dhidi ya Ruvu shooting
Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, wapo kwenye maandalizi kabambe ya kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika dhidi ya Ruvu...