Chanongo; Tutapambana kufunga Kampala vs KCCA
Kiungo mshambulizi wa Mtibwa Sugar FC, Haroun Chanongo amesema wanafahamu wanakabiliwa na kazi kubwa dhidi ya KCCA FC katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Caf Confederations Cup.
Baada ya Chanongo, Ubwa na Ndemla, Salamba atapotezwa.
Wako wapi, Abuu Ubwa na Haruna Chanongo? Kwanini Said Ndemla bado anaendelea kuchezea Simba SC wakati iliripotiwa alifuzu majaribio yake...
Chanongo, Khamis waachwa Turiani, Mtibwa Sugar wakielekea Arusha
Mshambuliaji wa Haruna Chanongo pamoja na Saleh Khamis wameachwa mkoani Morogoro katika kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho kimeondoka alfajiri ya...