Serie AKesi ya ubakaji ya Ronaldo imefikia hapa.Sekwao Mwendi01/01/2019Ronaldo alikubali kumlipa mwanamitindo huyo hadi dola za kimarekani 287,000 ili kuzuia madai yake kufika mahakamani lakini juhudi zake ziligonga mwamba.