Ligi KuuKagere ametusahaulisha Mavugo, Chirwa anatukumbusha Kipre.Martin Kiyumbi27/02/2019Anafanya makubwa zaidi ambayo Mavugo aliwahi kuvifanya. Meddie Kagere mpira wake wa mwisho una madhara makubwa sana kuliko mpira wa mwisho wa Mavugo.