Blog‘India ilijiondoa kombe la Dunia sababu ya Viatu’KandandaChat19/02/2019Inaaminika kuwa timu ya Taifa ya India, ilijiondoa kucheza kombe la Dunia mwaka 1950 baada ya kuambiwa wanatakiwa wasicheze peku.