BlogHii ndio ZESCO United! rekodi, Historia na mataji hivi hapa.Sekwao Mwendi5 years agoKwa upande wa kimataifa, ZESCO imeshiriki klabu bingwa mara tano, huku mwaka 2016 wakiishia hatua ya nusu fainali, kabla ya mwaka 2018 kuishia hatua ya Makundi.