Hii Galacha wa mabao wa kandanda ni nini?
Tovuti ya kandanda husheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi katika Ligi Kuu kila mwezi.
Hapana! Zahera amefikia pabaya.
Niliwahi kuandika kuwa ni ngumu kwa Yanga kubeba ubingwa wa ligi kuu ikiwa na mshambuliaji aina ya Makambo. Na hii...
Ni ngumu Yanga kubeba Ubingwa ukiwa na MAKAMBO
Jana nilikuwa napitia maoni ya mashabiki wa Yanga, ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wanaonekana wana furaha sana. Furaha yao imejengwa...
Ni wakati wa Tambwe kumpa ‘sumu‘ Makambo ‘awaangamize‘
UKIACHANA na tatizo la timu kuanza kuchoka dakika ya 75, katika mchezo wake wa kwanza katika ligi kuu Tanzania Bara...