Ligi KuuAdolf: Nimevaa Bomu kuinusuru Prisons.Issack John07/01/2019Rishald ameongeza kuwa nafasi kubwa ya kuonesha nia ya kutaka kubaki ipo kwenye mchezo wa Jumanne hii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaofanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.