Saa 48 pekee, Thierry Henry kutimuliwa jumla jumla Monaco.
Ukisikia “Breaking News” usishangae maana kwa sasa kama ni maji basi yatakuwa yameshafika shingoni.
Vasilyvev: Henry sio mzima moto.
Makamu wa Rais wa klabu ya soka ya AS Monaco Vadim Vasilyev ameendelea kuonesha kumuamini kocha Thierry Henry licha ya...
Natamani kumuona HENRY akiwa kocha bora kama alivyokuwa MCHEZAJI.
Dunia iliwahi kuwa sehemu kubwa ambayo vitu vingi vizuri viliwahi kuishi. Aliwahi kuishi Yesu kwenye dunia hii hii ambayo kila...
Monaco yamtangaza Thierry Henry kuwa kocha mkuu.
Klabu ya soka ya AS Monaco ya nchini Ufaransa imemtangaza mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo na vilabu vya Arsenal...
Monaco kumtangaza Henry kama mrithi wa Jardim
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona Thierry Henry ametajwa kuwa miongoni mwa makocha wanaotajwa kurithi kiti cha kocha Leonardo...