ZamaniDi Canio mtukutu mwenye tuzo ya Fairplay!Henry Hamis1 month agoZikiwa zimesalia dakika tano matokeo yakiwa ni 1-1 huku West Ham wakihitaji point tatu muhimu, wana London wengi hawakumuelewa Di Canio akiwepo kocha wake Harry Redknapp