Fulham yaungana na Huddersfield kucheza ligi ya washindi msimu ujao.
Licha ya kutumia zaidi ya Paundi Milioni 100 kuwasajili wachezaji 12 kwenye dirisha la usajili mwaka jana lakini haijawasaidi Klabu...
Ryan Babel aongeza nguvu Fulham.
Amecheza michezo 54 kwenye timu ya Taifa ya Uholanzi akifunga mabao nane, pia aliwahi kuwa kwenye kikosi hicho kilichocheza mchezo wa fainali na Uhispania katika kombe la dunia mwaka 2010.