ASFCSimba yapata pakulipia kisasi kwa YangaThomas Mselemu4 years agoKatika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali