Makame ashindwa kuing’arisha Zanzibar HeroesKandandaTz4 years agoKipa wa Zanzibar pia ameonyesha kiwango kizuri katika mchezo huo kwa kuokoa michomo hatari katika lango na kuifanya Zanzibar kuambulia walau alama moja.