EPLTheo Walcott Atangaza Kustaafu Soka.Mwandishi Wetu9 months agoWalcott anastaafu kucheza Kandanda na kuhitimisha miaka yake 23 ya maisha yake ya kandanda England ambapo alicheza mechi 397 za Premier League.