BlogKagere apandishwa mzuka na Mashabiki.Sekwao Mwendi20/08/2019“kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12 kama ulivyo msemo wa Kiswahili, bali ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani, tunashinda, tuna kikosi bora lakini mashabiki wanachangia sana..”