Mbwana Samatta amtaja nyota wa Liverpool!
Nakumbuka wakati sisi (Genk), tulicheza kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool ilikuwa ngumu kumpita.
Liverpool na mkosi wa mechi za Ugenini, mdomoni mwa Bayern Munich.
Timu ya soka ya Liverpool inatakiwa kujiandaa kiume pale itakapowafuata wanaume wa kazi Bayern Munich kwenye uwanja wa Allianz Arena...