BlogHii ndio ZESCO United! rekodi, Historia na mataji hivi hapa.Sekwao Mwendi31/08/2019Kwa upande wa kimataifa, ZESCO imeshiriki klabu bingwa mara tano, huku mwaka 2016 wakiishia hatua ya nusu fainali, kabla ya mwaka 2018 kuishia hatua ya Makundi.