Kifo Cha Man U Wembley Kilianzia Hapa.
Kipi kilichosababisha Manchester United washindwe? Usiku wa kuamkia leo Manchester United walienda katika uwanja wa Wembley kama wageni wa Tottenham Hotspurs. Uwanja ambao walikuwa hawajawahi kufungwa tangu mwaka 2011 ambapo walifungwa na Barcelona 3-1 katika fainali ya ligi ya mabingwa. Baada ya hapa walishinda mechi 6 huku kila mechi wakifunga...