Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya Afrika zilikuwa zinafanyika nchini Nigeria na kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hii Watanzania tulipata nafasi ya kupeleka timu baada ya Peter Tino kutufungia bao muhimu sana pale mjini Ndola Zambia bao lililotupatia ticket ya kushiriki michuano hii baada ya...
Hizi ni baadhi ya picha, wanasema ukikiongoza kitu lazima ukijue, na ndio maana kuna watu waliwahi kusema wakati wa uchaguzi mkuu wa TFF 'Turudishieni Mpira wetu'.
Shirikisho la soka barani Afrika limetupilia mbali ombi la Liberia kubadilisha uwanja utakaotumika kwenye mchezo wao wa kuwania nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya DR Congo kutokana na tishio la ugonjwa wa Ebola. Shirikisho la soka nchini Liberia liliandika barua ya maombi ya kubadilisha uwanja kwenda...
Timu ya Taifa ya Uganda jana jumatatu asubuhi wamefanya mazoezi ya kwanza wakiwa nchini Misri walipoweka kambi kujiandaa na mchezo wa kukalimisha ratiba kwenye kundi L la kufuzu kwenye fainali za mataifa Afrika (AFCON). Uganda wakiwa chini ya kocha Sebastian Desabre wamefanya mazoezi mepesi ikiwa ni sehemu ya kutanua misuli...
Beki wa kati Gilchrist Nguema ameenguliwa katika kikosi cha timu ya Taifa cha Gabon kinachojiandaa na mchezo wake wa mwisho wa kufuzu kwenye fainali za Mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Burundi. Nguema ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa kujiandaa na mchezo huo wa Machi 23, 2019 mjini Bujumbura, ameondolewa...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limekanusha taarifa zilizokuwa zikizagaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Afrika kuwa rais wa shirikisho hilo Ahmad Ahmad alinyimwa ruhusa kuingia nchini Marekani. CAF imesema inashangaa kuona taarifa hizo kwani hakukuwa na katazo lolote kwa rais Ahmad na ujumbe wa CAF ambao...