Mwandishi Wetu June 19, 2019 0 Comments Maybin Kalengo Maybin Kalengo amejiunga na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya Zesco ya Zambia.