Usiku wa Balaa!
Kwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.
Hesabu za Simba kutinga robo fainali kuna kaugumu fulani hivi…
Dalili ya awali kabisa kwa kundi hili ni kila mmoja kuonekana kuwa na uwezo wa kushinda kwake. Simba hesabu zake zinafeli?
Unataka kuanzisha klabu? ipande Ligi Kuu? Tazama hii..
Kuanzisha timu si tu kuunda Group la WhatsApp au kukusanya vijana na kuandaa katiba ya timu na kwenda kusajili BMT pekee. Kuna vitu muhimu vingi.