UhamishoSingida Utd haitanii yashusha kiungo wa Yanga!Mselemu Kandanda16/01/2020Timu hiyo imeonyesha haina masishara katika kujiokoa na janga la kushuka daraja baada ya kufanya usajili wa nguvu ili kujinisuru.