Kiungo mjerumani na anayelipwa mshahara mrefu zaidi ndani ya washika mitutu wa London,Arsenal, Mesut Ozil yuko sokoni kwa sasa, na muda wowote huenda akatimkia kusiko julikana.
Jana tulishuhudia Pierre-Emirick Aubameyang akicheza mechi yake ya kwanza akiwa na jezi ya Arsenal. Mechi hii Pierre-Emirick Aubameyang alifanikiwa kufunga...