Simba yawapora mchezaji Yanga !
Simba inaendelea na usajili kwa ajili ya kujiimalisha na msimu ujao ambapo itashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika pamoja na...
Nyika ni kweli miezi sita ya Boban ina thamani ya 25 Ml, au ‘unawapiga’ Yanga?
Kwanini pia Nyika alisema Ilanfya alihitaji Tsh. 25 wakati ukweli mchezaji huyo alihitaji milioni kumi tu?