Kiatu cha mfungaji bora klabu bingwa Ulaya nampa huyu hapa.
Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.
Rekodi zilizowekwa baada ya ushindi wa Madrid dhidi ya Liverpool
Real Madrid wanaizamisha Liverpool katika mchezo wa fainali nchini Ukraine katika jiji la Kyiev kwa ushindi wa mabao matatu kwa...
Ronaldo alisimama kwenye ngazi ya Zidane
Timu zote zilikuwa zinacheza mfumo wa 4-4-2 lakini kwenye maumbo ya mifumo ndiyo zilikuwa zinatofautiana. Real Madrid ilikuwa inacheza 4-4-2...
CR7 mwenye ahadi yake ya mwezi Novemba
Mengi yalizungumzwa sana mwanzoni mwa msimu huu ligi kuu Hispania maarufu kama La Liga, hiyo ni kutokana na ukame wa...