Hivi David Mwantika aliondoka na Amunike?
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Kipa wa Simba amwaga wino Lipuli.
Kipa huyo amesaini kandarasi ya miezi sita ili kuweza kuitumikia Lipuli fc yenye maskani yake jijini Iringa.