TahaririWaliopata tuzo wamepata, kamati ya tuzo ikubali changamoto!Tigana Lukinja1 month agoEneo jingine lenye ukakasi kwangu ni tuzo ya mchezaji wa Championship (zamani ligi daraja la kwanza) na ile ya first ligi (zamani daraja la pili).