Mataifa AfrikaNi heshima kubwa kuitwa na Amunike – MirajSekwao Mwendi5 years agoMiraj Athuman, jezi namba 7 miongoni mwa namba maarufu duniani, ndiyo anayoivaa akiwa katika klabu yake ya Lipuli Fc.
BlogAmunike huenda akawaita hawa…Thomas Mselemu5 years agoTanzania ipo kundi C na Timu za Algeria, Senegal na Kenya.Itaanza kibarua chake kwa kutupa karata dhidi ya Senegal.
BlogNigeria ina uzoefu zaidi ya TanzaniaThomas Mselemu5 years agoAmunike aliulizwa anamaoni gani kwa uwezekano wa Tanzania kupangwa na timu yake ya taifa ya Nigeria.
Mataifa AfrikaNakiunga mkono kikosi cha Amunike kwa sababu moja tu!Martin Kiyumbi5 years agoKila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Mataifa Afrika U17Ninje, Amunike waongoza kliniki ya kusaka vipaji Mwanza.Issack John5 years agoShirikisho la soka nchini ‘TFF’ limendesha kliniki ya kusaka vipaji vipya kwa vijana iliyofanyika kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza,...
BlogTunaukimbia ukweli kwa kujificha kwenye kichaka cha kumlaumu Amunike!Martin Kiyumbi5 years agoTarehe 22/08/2017 niliamka na mawazo sana, mawazo ambayo yalitokana na mimi kuona furaha ambayo walikuwa nayo Watanzania baada ya kutangazwa...
BlogUganda “Dhaifu” ilituaminisha kuwa tushafika!.Martin Kiyumbi5 years agoDimba la Nambole ni dimba gumu sana kati ya madimba yote yaliyopo Afrika Mashariki na Kati. Ni dimba pekee ambalo...
BlogAmunike ndiye ‘aliyeiua’ Stars ugenini, TFF wakuiokoa nyumbani.Baraka Mbolembole5 years agoTIMU ya Taifa ya Tanzania ‘ Taifa Stars’ ilichapwa 3-0 na Cape Verde Island katika mchezo wa kundi L kuwania...
Shirikisho AfrikaAmunike: Tunapaswa kujifunza kutokana na Makosa.Issack John5 years agoKocha mkuu wa kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike amesema wataangalia makosa ambayo...
BlogAishi ndiye aliyewaondoa Erasto, Kapombe, Dilunga, Kichuya na Mkude Stars, au ni Amunike, Simba, TFF au muda?Baraka Mbolembole6 years agoKOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) Mnigeria, Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji watano kati ya...